FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Prof Pacome ni mtu na nusuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kengold wanapeleka mashambulizi mfululizo langoni mwa Yanga
 
Huwa kila wakitoka kucheza mchezo wa CAF wanakuwa na tempo ya chini sana mechi inayofuata. Hata msimu ulioisha ilikuwa hivi hivi, kila wakitoka kucheza mechi ya kimataifa wakija mechi ya ligi wanapata ushindi kwa taabu
dhidi ya waethiopia!
 
Hawa Kengold kama wangewakamia Singida, KMC au Kagera sugar wangevuna walau alama moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…