FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Kengold wanapeleka mashambulizi mfululizo langoni mwa Yanga
 
Huwa kila wakitoka kucheza mchezo wa CAF wanakuwa na tempo ya chini sana mechi inayofuata. Hata msimu ulioisha ilikuwa hivi hivi, kila wakitoka kucheza mechi ya kimataifa wakija mechi ya ligi wanapata ushindi kwa taabu
dhidi ya waethiopia!
 
Hawa Kengold kama wangewakamia Singida, KMC au Kagera sugar wangevuna walau alama moja 😂😂😂
 
Back
Top Bottom