FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Akili za jikoni hizi.
 
Ukipenda boga, penda na ua lake

Timu ya Mama watoto hii, wacha tuiombee heri tu

Kila la kheri Wananchi, pambaneni kuiheshimisha Nchi πŸ‘πŸ‘
Unaishabikia kwasababu ya mama watoto?πŸ˜€

Halafu kuwaheshimisha nchi kivipi? Kama ni hivyo siyo wao peke yao wanaoweza kufanya hivyo. Huna mchepuko ambaye ni timu tofauti na hiyo?πŸ˜€

Back to the point, timu ya Madeama inacheza mchezo wa kasi sana.
 
Yanga 2,Madeama 0
Kila la heri timu ya wananchi.....!
 
Mimi ni shabiki wa Simba Mkuu, ila yeye ni Yanga.

Nimewahi kuwa na michepuko kama unavyosema lakini almost asilimia 78 yao huwa ni mashabiki wa Yanga.

Kwenye hili la kuwapa sapoti leo, nafanya hivi kwakuwa ni mechi ya Kimataifa.

Ningependa kuona wote Simba na Yanga zinasonga mbele kwenye hatua inayofuata.

Simba Nguvu moja πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Ulikubaliana na nani?
 
Wenye King'amuzi cha Startimes mechi inaonyeshwa na ST ADEPA TV Channel no.247
 
Unaujua mpira lakini au umeropoka tu?
Mie nimewanukuu fans lia lia wa Yanga, kila siku wanaimba wao ni Wataalam wa kandanda bongo na Africa yote.

Sasa nitashangaa leo wakitoka uwanjani Bila point 3 kutoka kwa hao vibonde wao Medeama πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…