Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Akili za jikoni hizi.Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje [emoji23][emoji3] ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,
Note: Niliwah kusema na leo naludia kusema haya mashindano yatamfukuzisha Gamondi kibarua,... Naona dalili zote zinajionyesha kwamba inaenda kutimia.