FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Yanga wako Mbali sana
 
Lakini tukumbuke Timu za ligi kuu Nbc zinapelekeshwa na hizi timu Mbili nchini.
Dhulma karibia killa mechi wamesahau na hadi kudhulumiana wao kwa wao.
Yakiwakuta huko kelele nyiingi. Acheni huku na kwingine haki itapatikana.
Goli au sio goli angle za Camera zipo hovyo huwezi amua 100%, isipokuwa namuunga mkono kocha wa Yanga kwa nini refa hajaenda kuangalia VAR?
PIli Yanga nao maamuzi mawili yamewabeba, Refa kapeta. Lakini timu bora imevuka, hata Goli la Al Ahly la Penalt la pili sio hali dhidi ya Simba, pale waligongana.
Maliza mechi kwa Mkapa. Usisubiri uvuke au usivuke ndio utaiweza Caf Champiions league.
 
Basi sawa, kuna kesho
 
Sasa nilicho ongea uongo ni kipii? Km kweli Yanga walistahili kushinda hii match, si penalt zilipigwa walishindwa vipii?

Au wee unataka kusemajee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penalty huwa hazina wenyewe
 
Yanga msihofu hilo kombe lenyewe ni la mbuzi au sio wanangu!!!!
 
Jambo la msingi na la muhimu ni Yanga kutolewa......hayo mengine ni upuuzi........mji ungekuwa mgumu sana huu.......dah!!
Bora umeonesha rangi halisi ya u-Yuda Iskariote(unafki) kuwa furaha yako Yanga katolewa hata kama kaonewa maana Dar ingekuwa Jehanamu kwa Makolokolo [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…