FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Sasa nilicho ongea uongo ni kipii? Km kweli Yanga walistahili kushinda hii match, si penalt zilipigwa walishindwa vipii?

Au wee unataka kusemajee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20240406_104459.JPG
 
Aziz ki, Job, na bacca ndo walipangwa wainyime yanga ushindi na watoleweee?

Diarra si alikua anapoteza muda ili waende matuta, anamjua Williams au anamsikia?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
William aligongwa vizuri sana tu AFCON kwenye penati hizo hizo, kiujumla Refa ndiye Man of the Match of Masambwanda SC 05/04/2024.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sasa jana kasahihisha makosa yake, na kafanya anayopaswa kufanya, kaivusha madandawana to semi final.
Asingefanya usahihi bila ya mbeleko ya Refa na VAR kwa maelekezo ya Rais wa CAF kukataa goli halali la Aziz Ki, kikubwa nguvu za chapaa si Africa bali popote duniani.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sema Yanga ndiyo mjikite kwenye ngono kwani mamelodi ni wazungu?
Sasa jamani mamelodi sii waafrica kama sie sema wao angalau wana akili kuliko sie kwa maana ya kwamba wanawapa fursa wazawa wao kunoa timu kubwa...kwa kwwli hapo wametupiga bao.
 
Back
Top Bottom