Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sasa nilicho ongea uongo ni kipii? Km kweli Yanga walistahili kushinda hii match, si penalt zilipigwa walishindwa vipii?
Au wee unataka kusemajee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nilicho ongea uongo ni kipii? Km kweli Yanga walistahili kushinda hii match, si penalt zilipigwa walishindwa vipii?
Au wee unataka kusemajee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Mimi nimeandika barua ya kwangu ya malalamiko kwenda fifa. Hatuwezi kuonewa mchana kweupe
William aligongwa vizuri sana tu AFCON kwenye penati hizo hizo, kiujumla Refa ndiye Man of the Match of Masambwanda SC 05/04/2024.Aziz ki, Job, na bacca ndo walipangwa wainyime yanga ushindi na watoleweee?
Diarra si alikua anapoteza muda ili waende matuta, anamjua Williams au anamsikia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli ndiyo huo hata kama ni ngumu kumeza.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] poleee
Sasa jana kasahihisha makosa yake, na kafanya anayopaswa kufanya, kaivusha madandawana to semi final.William aligongwa vizuri sana tu AFCON kwenye penati hizo hizo, kiujumla Refa ndiye Man of the Match of Masambwanda SC 05/04/2024.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wana Simba tungeishi kwa tabu sana huko vijiweni...... Mungu kaamua kesiBora umeonesha rangi halisi ya u-Yuda Iskariote(unafki) kuwa furaha yako Yanga katolewa hata kama kaonewa maana Dar ingekuwa Jehanamu kwa Makolokolo [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hii match imesaidia sana kuficha aibu yetu.Sasa jana kasahihisha makosa yake, na kafanya anayopaswa kufanya, kaivusha madandawana to semi final.
🤣🤣🤣Wana Simba tungeishi kwa tabu sana huko vijiweni...... Mungu kaamua kesi
Kabisa Tunakutana nao siku sio nyingi.
🤣🤣🤣View attachment 2955339
Picha zimevuja.
Asingefanya usahihi bila ya mbeleko ya Refa na VAR kwa maelekezo ya Rais wa CAF kukataa goli halali la Aziz Ki, kikubwa nguvu za chapaa si Africa bali popote duniani.Sasa jana kasahihisha makosa yake, na kafanya anayopaswa kufanya, kaivusha madandawana to semi final.
Yanga wapewe kombe la "KUFA KIBINGWA" maana kombe la "KUFA KIUME" tayari walishapewa Makolokolo [emoji38]Kama vipi CAF wachonge kombe la KUFA KIUME....wawape Yanga.....
Sasa jamani mamelodi sii waafrica kama sie sema wao angalau wana akili kuliko sie kwa maana ya kwamba wanawapa fursa wazawa wao kunoa timu kubwa...kwa kwwli hapo wametupiga bao.Sema Yanga ndiyo mjikite kwenye ngono kwani mamelodi ni wazungu?