FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Tunataka apange kikosi cha kwanza...huo ndo weledi...apenge kikosi kinachocheza siku zote..Simba inakimbilia ubingwa hatutaki kikosi cha tatu...hiko sio saizi yetu..akipanga hiko basi nitaona ni maigizo...
Otherwise kipigo kipo pale pale
 
yeyote anaweza kuanzisha uzi mkuu,ili mradi tu ukidhi vigezo na uwawahi wenzio, sasa natangaza vita,nitakuwa silali mpaka nihakikishe nakuwa wakwanza kila mchezo wa NBC PL hasa mechi za SIMBA na YANGA
NA TUTASHINDA ZOTEEEEE LABDA UACHE NDO TUTAFUNGWA....MARK MY WORDS...
karibu sana...
 
naomba unipe maelezo ya kina nani ni mmiliki wa timu ya SBS anaetambulika na TFF achana na yule mnaemdhani kila siku.
Leta ushahidi kuwa mmiliki wa namungo ni waziri mkuu?

Kama namungo ni tawi la simba kwanini simba hajashinda misimu miwili mfululizo majaliwa stadium?
 
Hivi hii mechi ipo kweli! Mbona kama mashabiki wa Simba wameususa huu uzi! Yaani hakuna shamrashamra!! Au matokeo tayari yanajulikana?
 
Hii droo imekaa poa sana, refa akileta mauza uza kama kawaida yao Namungo wasikubali wamgawane maana mzaha mzaha kama hivi timu zinashuka daraja kwa ujinga za marefa, timu zinawachekea tu marefa wakiibeba kolowizard na wao kushuka daraja pointi tatu muhimu sana!
 
Hii droo imekaa poa, refa akileta mauza uza Namungo wamgawane maana mzaha mzaha timu zinashuka daraja wanawachekea tu marefa wakiibeba kolowizard
kabla ya tarehe march, 8 simba atakuwa nyuma ya yanga poiti moja. Leo ni miongoni mwa meche ngumu ya ushindani. Lolote liwakute hawa kolo.
 
Hili nalo mkalitazame....
 
Holoholo umeamua kuwa mnyama?

Karibu unyamani huku hakunaga cha kuhonga kina Kayoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…