FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Kuvuka makundi CL mchezooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mwaka huu hakuna kuangukia CF, habarii ikufikiee.
 
Huyu ni MBUMBUMBU hajui chochote achana nae
Kipindi Simba anaota moto, mbumbumbu walicheza sijui mechi 2 wakatolewa.
Kipindi mbumbumbu wamepangiwa champion league, walicheza mechi mbili tu wakatolewa.
Siku nyingine acha kufananisha CAF Champion league na Confederation. Ni sawa kutaka kuilinganisha UEFA na Europa league.
 
Hakuna timu hapa Tz imewahi kuwa bora kama Yanga ya Nabi na hii ya Gamondi.
Kwanini ilishindwa kucheza CAF Champion league halafu timu km Simba ikacheza Champion league?
Yanga bana, akipangiwa na timu zenye ubora km yeye kwenye CAF Champion league anapigwa vibaya sana.
Ila akicheza na timu zenye hadhi ya ihefu na azam anatoboa. Kwanini?
 
Ile confederation kipindi Simba anaota moto. Ulikuwa unacheza Champion league au Shirikisho?
Unajaribu kujilinganisha na Simba lkn bado unapelea.
Naona unajisahaulisha wewe si ulipigwa tatu moja kwa Mkapa mechi za mzungungo, ukatolewa ndio ukaenda confederation duu naona ushasahau.

Napelea wapi mimi tayari nishafika fainal ya CAF confederation cup, wewe umefika so kila mmoja ajivunie alichokuwa nacho.
 
Simba tumbo joto, safari ya uturuki imeonekana ilikuwa ya kutopiga hesabu vizuri
Na huu msimu yanga bado atabeba kombe [emoji122][emoji122]
 
Kuvuka makundi CL mchezooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mwaka huu hakuna kuangukia CF, habarii ikufikiee.
Mliumia sana kumbe ,nyie si mlipigwa tatu moja na Makirikiri mkapewa nafasi nyingine ya confederation kama tuliyopata sisi matokeo yake mkaota moto katikati ya uwanja na kuchoma pitch ya watu.
 
1. Kipindi Simba inapigwa 3, Yanga alikuwa anacheza kombe gani? Ni mwaka gani?
Simba ilifika robo fainali, yanga kwanini hakufika?
2. Yanga na Simba walipangiwa CAF Champion League. Kwanini Yanga alienda kucheza Shirikisho? Unafikiri Yanga alikuwa mzuri kuliko Simba? Kama Yanga alifanya vizuri kuliko Simba, kwanini Yanga hachezi African super cup?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…