cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kuvuka makundi CL mchezooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kipindi Yanga anacheza fainali ,Simba alikuwa anacheza na nani?
Ila na kumbuka nilisahau ,mlikuwa mnacheza nusu Fainal ya Azam Confederation na Azam FC.
Sasa kama Confederation ingekuwa ndogo mngejidhalilisha kwa kubeba mikuni na viberiti na kwenda kuota moto katikati ya uwanja. Wewe sema nyie uwezo hamna na ndio maana michuano yote ya CAF mnaishia robo.
We endelea kucheza na kuishia robo,ila sisi tukivuka makundi CAF ujue nusu au fainali hatuishii robo kama nyie na wala hatufanyi upuuzi mlioufanya nyinyi South.
Na mwaka huu hakuna kuangukia CF, habarii ikufikiee.