FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Hiyo nayo n hoja ya msingi kama ni hivo INA maana tulisajili Garasa?
 
KMC wanazidiwa hapa namna gani hpa aisee ni tabu sana
 
Kuna mchezaji wa KMC anachonga cross nzuri sana sema wakumalizia ndio hayupo
 
Nimeipenda rotation ya kikosi anayoifanya kocha.

Kwa style hii wachezaji wote waliosajiliwa watapata nafasi ya kucheza msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…