FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Ha ha ha ha
 
Ni bora kumchezesha yule kipa aliyetoka KMC na uzoefu wa kutosha kuliko huyu dogo asiyejua lolote, yani huyu wakianza kumchungulia vizuri ni lazima wapate goal.

Kama Simba Sc ataingia fainali, basi atafungwa kwa ujinga wa huyo kipa.
Huyu kipa mpaka sasa hajafanya makosa mengi kama ya kipa wa Azam jana.
 
Ubora wa singida Leo Azam hata wawe 16 uwanjani ,singida ya Leo Iko vizuri sana sana ! Simba inatuonyesha ukubwa wake na che Malone anaonyesha Simba ni klabu kubwa hongera zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…