FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Masikitiko yote haya ni Utopolo kukutana na Mnyama...waliombea sana ila ndio hivyo tena
 
Kwa upumbavu huu niliouona ktk mechi hii ..simba vs fountain..

Nasema hamji kuniona tena ktk jukwa hili. No mara waa . Huu ni upumbavu.

TFF ni wapumbavu wakubwaa.

Im done.
Kupendelewa na kuonewa ni sehemu ya maamuzi muhimu sana kwenye soka.
 
Na ni Simba hii hii iliifunga Singida goli 3, lkn leo imebidi itegemee hisani ya refa. Kuhusu kufungana, msimu uliopita hata Simba alibanduliwa na Yanga kwenye ngao ya jamii
 
😁😁😁kwa hyo jpili ndo mnawaleta hawa waliocheza leo cyo, anyway njoeni na refa mtaumbuka nyie vijana wa rage
 
Thimba hii ndo inaenda kukutana na Yanga ile. Hakyanani aibu itawakumba.
 
Kwa upumbavu huu niliouona ktk mechi hii ..simba vs fountain..

Nasema hamji kuniona tena ktk jukwa hili. No mara waa . Huu ni upumbavu.

TFF ni wapumbavu wakubwaa.

Im done.
Sasa sisi inatuhusu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…