FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Mpira hauko hivyo sheikh, ukiingia hata mechi ya ndondo utapoteana vibaya sana ndugu yangu... Dakika 5 maji utayaita mma
Siongei kwa kufurahisha mzee, naongea nikiwa najua hicho kitu, boli nimelisakata tena haswa, hata sasa mara moja moja napasha.

Kuna sehemu naona kabisa ni akili tu, yeye anatumia nguvu..
Akiongeza matumizi ya akili kisha ndio nguvu atakuwa bonge la player.

Hakuna mchezaji duniani aliyesifika kwa kuwa na nguvu kuliko akili
 
Basi kama ni hivyo mategemeo yangu hiyo itakuwa habari njema kwenu ili mlipe kisasi.

Lakini cha ajabu naona wengi wenu mnapenda tufungwe, je hiyo haimaanishi kwamba kuna kitu mnakikwepa?
Shindeni kwa haki na sio kwa dhuluma. Kitendo anachofanya refa kimezidi kiasi kwamba kila mtu anaona wazi wazi jambo ambalo linasababisha Singida wapaniki watoke mchezoni
 
Ukiwa huangalii mpira unaweza fikiri Makolo wanacheza kama Man City, ukiwa unaangalia unathibitisha Kitayose ni bora mara mia na wachezaji kiwango chao hakina tofauti na Yikpe
 
Kuna namna Simba tunataka kumkwepa Yanga nini? Mbona mchezo wa kiboya Sana tunacheza??
 
Kocha ana wachezaji wazuri lakini hana namna ya kuwatumia. Eti anamuingiza Bocco, fuckin
 
Back
Top Bottom