Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hakitukeri,ila tunawaza,je hizi mbeleko zitakuwepo mkienda kucheza limataifa!?Kitendo ambacho Yanga kimewakera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakitukeri,ila tunawaza,je hizi mbeleko zitakuwepo mkienda kucheza limataifa!?Kitendo ambacho Yanga kimewakera
Refa Hana hatia Hadi hapo Kwa matokeo yoyote Yale [emoji1787]Phiri usingeingia timu linacheza hovyo hilo, chiba anataka ajitoe kwenye lawama.
Bora ya Yanga aliyebaki nchiniKwa mpira huu hakuna faida
Ngoma ya watoto hua haikeshi nahisi atalambwa muda si mrefu yaleyale ya AzamSingida ni Kama Wamelainika hivi....
Zile mbereko za refa Kwa Simba zimewavunja moyoSingida ni Kama Wamelainika hivi....
Huyo ndo kabisaaaa. Akicheza dhidi ya Simba hata akibaki na goli mwenyewe hafungi.Kagere uko wapi? Ingia umalize mchezo
Yani kama tungeamua kuwa serious kama club zilizoendelea, kwa mchezo mbovu kama huu na kushindwa kwake ku-manage kikosi (kila mtu anajua) ilifaa kocha afukuzwe hata kama atashinda hii game kibahatibahati.Huyu kocha ana tatizo,kama kwa huu usajili hawezi kushinda mechi anafanya nini Simba
Maana true hii fainal inafosiwa kishenzi ili week nzima tushinde kujadil simba tuu na yangaHakika
Hili nalo neno