FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Hii Simba nahisi walichukulia poa Sana singida... Au singida ni Bora??
 
Wakipata goli, wataanza kuimba mapambio ya kusifu. Watasahau kama walikua wanatukana muda si mrefu.

Anyway, acha tuandae paredi jingine. Makombe yote yanarudi Jangwani!
 
alafu huyu mtangazaji akumbushwe sio singida big stars jina lilisha badirika
 
Back
Top Bottom