FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Singida imejaa langoni...imepack bus.
Nadhani wanataka penalti...
Ni kazi sana labda...ubunifu binafsi..
Mwigulu huko aliko meno yote nje itakuwa 😁

IMG-20230809-WA0050.jpg
 
"hawaamini macho Yao" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani bado dkk ngapi hawa wote wana ogopa kukutana na kimoda final
 
Back
Top Bottom