FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Kwani ni kosa kisheria?Singida imejaa langoni...imepack bus.
Nadhani wanataka penalti...
Ni kazi sana labda...ubunifu binafsi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni kosa kisheria?Singida imejaa langoni...imepack bus.
Nadhani wanataka penalti...
Ni kazi sana labda...ubunifu binafsi..
😂😂😂Kuwa na huruma basi sister unawezaje kufurahi mtu akiwa katika hali hiyo
Mwigulu huko aliko meno yote nje itakuwa 😁Singida imejaa langoni...imepack bus.
Nadhani wanataka penalti...
Ni kazi sana labda...ubunifu binafsi..
Goal 5 ulisema mnashindaSingida wanacheza rafu sana
Tatizo media zinawahadaa nao wanaamini [emoji2]Goal 5 ulisema mnashinda
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
Kwa hii Simba tumechezewa sana (In Magu's voice)Simba hii tumedanganywa sana.
Vijana wa Rage wakifungwa hili jukwaa moderator walipe ulinzi mkali maana matusi na nyuzi za malalamiko zitajaa..
Mtaanza kusema baya...🤣Kwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
AfadhaliNi hii tu
Ni matako sio?Kwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
Leo ulipika cha hadi usikuSema huwa nawasifu sana yaani leo mtu haoni shida kusifu halafu kesho akabadilika analia na anachokiona. 😅😅