FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Kelele tunapiga za kutosha na misonyo inasikika ila nashindwa kuelewa hawa mabwana sijui wameingia na earphones qu namna gani
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Bado mbili,huwa mna midomo sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
021D5129-7625-44E0-8BDF-E3511B20C2E6.jpeg
 
Tukifingwa leo maana yake

Tumfumge Vipers nje ndani na horoya

Hapo tuombee horoya afungwe na Raja
 
Mimi ni yanga ila sijapenda simba ifungwe hii mechi
Simba msituangushe jamani,mshinde mtutoe kimasomaso
 
Back
Top Bottom