FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Mimi ni yanga ila sijapenda simba ifungwe hii mechi
Simba msituangushe jamani,mshinde mtutoe kimasomaso

Isiwe kinafiki
By the way hata mimi kwenye mambo ya utaifa ukiacha kejeri zao nna wish watusue tatizo midomo
Wakiongozwa na yule bob nan sijui
 
Hivi Siri ni Nini mkuu???
Wapo very conferable.
Jamaa wanacheza Kama wapo kwao.
Experience kaka halafu wanajua , ww kwao wamecheza bila mashabiki na bado wakampiga Vipers 5. Hapa taifa hii atmosphere ya leo ya mashabiki wa Simba haiwatoi mchezoni.

Wewe watizame wakiwa na mpira hawana papara na hata attempts zao ni za hatari ndio maana mechi ya leo mchezaji kama Sakho haimfai, sababu inahitaji watu amabao hawana mambo mengi, hawapotezi mipira na wenye accuracy kubwa.
 
Simba kwa game hii inapaswa icheze mpira wenye kasi wachezaji wakimbie haswa

Hizi mambo ya mtu kukaa na mpira kwa sekunde kadhaa kuangalia ampasie nani naona haziwezi kutufikisha tunapopataka.

Mchezaji hapaswi kukaa na mpira ukishakuwa na mpira tafuta wa kumpa kisha funguka uuombe kwa mbele.
 
Hivi ule mpira haujapigwa ukiwa nje kabla yule jamaa wa Raja kuutoa moja kwa moja?
 
Daaah ila huyu jamaa licha ya kwamba kautoa mpira nje ila alikuwa ameshadhibiti beki zetu zoote masikini
 
Back
Top Bottom