FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Simba anatakiwa kuvuna point kama ifuatavyo


1.Ampige Vipers nje ndani = points 6

2.Ampige Horoya hapa home = point 3

Jumla 9

Kwa huyu atafute sare hata 1

Ndo anaweza fuzu, vinginevyo haendi popote
Kwa kikosi kipi
 
Screenshot_20230218-194743.png

Mwaka Jana, horoya alimpiga raja 2-1 alafu bado tunaamini kwamba tutavuka mbele ya horoya...tujipange mwakani tusajili watu wa maana.
 
Ila the fact that bocco ni namba tisa yenu first choice huwa inanifurahisha sanaa makolo[emoji23]

Achana na NBC, yani club bingwa[emoji1787]
 
Back
Top Bottom