Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais angekausha tu,amewapa hasira zaidi Raja 😀
Nilifanikiwa kukitazama kipindi cha kwanza tu.Kipindi cha kwanza kimemalizika Simba wakiwa nyuma kwa goli moja.
Ukumbuke sie wote tunaitwa watanzaniaNyinyi Yanga jiandaeni kwa mambo yenu kwa kesho, kama Simba tunateseka hivi na nyinyi mtaseka mara dufu.
Kila mtu ashinde mechi zake.....
Kila mtu apambane na hali yake....
Huwezi kuwaona saizi 😀😀😀Wamekimbia uzi wao wenyewe😂😂😂😂
Kwa kikosi kipiSimba anatakiwa kuvuna point kama ifuatavyo
1.Ampige Vipers nje ndani = points 6
2.Ampige Horoya hapa home = point 3
Jumla 9
Kwa huyu atafute sare hata 1
Ndo anaweza fuzu, vinginevyo haendi popote
Eti eeeKuwa na akiba ya maneno weye binti
Embu niache Mimi nishavurugwankana utamlinganisha na raja mkuu