ππππππππKelele tunapiga za kutosha na misonyo inasikika ila nashindwa kuelewa hawa mabwana sijui wameingia na earphones qu namna gani
Hivi Siri ni Nini mkuu???Awa jamaa wapo very accurate hata ndani ya dk 5 wana uwezo wa kumaliza mechi.
Nakazia. ππKwa mkaaaapaaa hatoki mtuuuu
Guvu moya πNdio imeisha hiyo turudi ligi kuu
Hii mechi tunashinda38' Simba 0-1 Raja
Hivi Siri ni Nini mkuu???
Wapo very conferable.
Jamaa wanacheza Kama wapo kwao.
Yanga wanajiona wenye bahatiRaja wanalijua boli