Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Shida imeanzia kati wametuzidi.. Striker ni kocha tu, baleke na phiri si wapo benchi.Stricker.
Millioni 5Wachezaji wa Simba wanaumizana wenyewe hapa
Hakuna mshambuliaji pale mbele mkuuCome on' Simba msi hesitate mnapofika eneo la mwisho
NakaziaOya Mwambieni chama hii sio NBC premier League ni CAF CC aache mbwembwe
πππHata Horoya mlimiliki namna hiiTumewakosaaa mbwa hawaaa