Square pasi nazo unashangilia mkuu 😀What a performance
YANGA 0 RAJA 6Yanga 3-3 Raja. Yanga haikufungwa uwanja wa taifa na raja na Wala haikuteswa hivi km mnavyoteseka nyinyi
😀😀😀Hii ndio Simba ambayo hata ukipoteza mechi huwezi kunikuta nalaumu
🤔🤔Weka Phiri au Beleke huyo kocha ni matako sana
Naona mmewakazia mruhusu awapige kimoya kwanza..Alafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
Kutukanana kutusiana, mnyama kakatwa mkia.Kuimba kupokezana 😀😀
Make kwa kutulia hivyo hivyo, hii pumzi ya moto tunawapelekea na shemeji zenu hamna rangi mtaacha ona..52' Simba wanakosa utulivu eneo la mwisho la mpinzani