Kitambo since hatujaonja ladha ya kufungwa taifa .......dah ...kumbe kufungwa sio poa halafu nyumbani .......
Wengine mnawezaga vipi kuvumilia haya aisee.....🙌
 
Simba wanatamani mpira uishe hawa jamaa dk 80 wamekuwa wa moto.
 
Tunatakiwa kufungwa magoli 3 zaidi ili tufikie ubovu wa Uto
 
Mpira ni sayansi sio porojo tuliwaambia hamna timu ya kupambana kwenye hii michuano
 
Robertino ameleta mfumo yako faa ..
Niliona mapema kwa timu yenye kushambulia kwa kushtukiza lazima ufungwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…