FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Kiukweli hizi timu za africa magharibi wanacheza kikubwa na kibingwa. Tuna safari ndefu sana kwa timu zetu ku catch up kwenye level za ushindani.Poleni makolo kwa kichapo kizito hiki cha leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani full package,hawa bahatishi.Hawa madogo sio wa kukabwa na beki mmoja Wana uwezo wa kuhold , kujazana mbele na kumwacha onyango ni kujiletea majanga
Ule ni ushamba tuHata wangeingia uchi wa mnyama ilikua lazima wanyukwe
Sasa kwako unapigwa hivi, kule Morocco itakuaje? [emoji38][emoji38][emoji38]Tunatakiwa kufungwa magoli 3 zaidi ili tufikie ubovu wa Uto
Na atoboi mechi hata moja niliwahi lisema hapa mapemaSimba anakua wa mwisho kwenye ili kundi
Mkuu basi limetoka mbweni mpaka temeke kwa rivers [emoji706][emoji706]Walikabidhiwa mpaka uwanja lakini bado wakafungwa [emoji16][emoji16]