FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Kiukweli hizi timu za africa magharibi wanacheza kikubwa na kibingwa. Tuna safari ndefu sana kwa timu zetu ku catch up kwenye level za ushindani.Poleni makolo kwa kichapo kizito hiki cha leo
 
Niliwahi taja wachezaji 13 wasiofaa Simba

Niliwahi hoji sababu ya bonus wanazipewa wachezaji, yote haya nikaonekana hater
 
Back
Top Bottom