Simba anakua wa mwisho kwenye ili kundi
No, kama Vipers alikufa kwake, Simba leo kafa kwake, mwenye faida hapa labda ni Horoya kama atawakazia waarabu nyumbani kwake apate hata suluhu..

Lakini ikitokea Horoya akapoteza pointi kwa Vipers, then Simba ashinde zote mbili za Vipers, bado nafasi ipo, sema hawa jamaa ndio wataongoza kundi kwa pointi nyingi sana.
 
KUFUNGWA NI KAWAIDA, KUFUNGWA NI SEHEMU YA MPIRA HAIJALISHI UMEFUNGWAJE.KUFUNGWA KUPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…