Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Hapo ndio tujue tofauti ya kucheza mpira mdomoni na kucheza uwanjani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, kama Vipers alikufa kwake, Simba leo kafa kwake, mwenye faida hapa labda ni Horoya kama atawakazia waarabu nyumbani kwake apate hata suluhu..Simba anakua wa mwisho kwenye ili kundi
Naandika kiarabu mkuu 😀😀😀Mkuu ni 0-3!!
Usiwapendelee
Leo ilitakiwa manzoki acheze, kwan bado wanahesabu zile nanihii etiNdugu zangu hawa jamaa wamewekeza kwenye mpira tuache siasa za kina Mangungo kuleta mchezaji siku za uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaaa nipo na hasira Ila nimecheka nipo kibanda umizaBasi la madunduka liliingia kinyumenyume, huenda masharti yamekosewa. Labda ilitakiwa wachezaji wasigeuke nyuma, nawaza 🤔😂😂😂😂😊😊😊😊😊
Dah nitaacha kushabikia mambo ya mpira
Kawaponza sanakwaiyo mama anahusika kwenye hizi 3 au
Asha ngedereSIMBA 1-3 RAJA CASABLANCA
YANGA 2-0 TP MAZEMBE
Tofauti na matokeo hayo niiteni ZUWENA, all the way from CAPE TOWN.
Jina langu la huku ni NHLANHLA MEBO.
Kwa mkapa Simba hatoki leo mpaka maji ataita Mma dadadek 😂Acha aongeze 10mins tumechoka na maneno yao eti kwa mkapa hatoki mtu🤣
Bado,tutamfunga Horoya na vipers tumpige home and away na Raja tutoe draw kwao ,hapo tukifikisha point 10 tunasongaMsimu huu ndio ushaisha sioni tukisonga mbele
Leo ni furaha tupu yaani. Utakwenda kuselfika leo nikasubiri? Si kwa furaha ya leo aisee [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Hamsa hamsa imeanza huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]