kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Safari bado inaendelea....!Kimoja tu Cha Kukikumbuka ni Hii ni CL na sio Confederation...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Haina uwezo wa kuifunga vipers kwao na wajitazame hapa Kwa Mkapa.Ile game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Acheni haya mawazo mgando, Vipers alikula tano, nae alimkosea mtu gani?Hivi Kuna anayejuwa kosa la yule kocha mspanish wa Madrid de Rosa kufukuzwa?
Hii ndy karma sasa,,
Kocha kaipeleka timu robo fainali,,tumetolewa kwa matuta kuingia nusu fainali anafukuzwa vipi?
Leo nataka tufungwe hata 0--5.
Ili tuache kuishi kwa mihemko.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nafikiri tulikua/tupo pamoja.....Niliwaambia mashabiki wenzangu wa Simba sioni sababu ya kuletwa huyu kocha mpya katikati ya msimu wakati Mgunda anafanya vizuri na alishapata combination nzuri ya Boko Chama na Ntibanzonkiza. Walibinishukia kama mwewe. Leo hii toka huyu kocha aje Simba imekuwa ikishinda kwa tabu huku ikicheza mpira mbovu na Boko hafungi tena.
Ila Marehemu alikuwa na mdomo sana jamani. 😅😅😅
Kweli kabisa.Ila hata kuchelewa kwa jezi nayo inaweza kuwa sababu ya kugongwa kwa mtani....... au sio mtaani na sikia zipo Ethiopia zkwa dobi zinapigwa pasi.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hawa jama design kama walikuwa wana subiri dik 80 ifike manake dk 10 hizi za mwisho wameuwasha moto mkapigwa mbili, je huko kwao wakiuwasha mwanzo mwisho si mnakula mkono.
Ndo unatambua sasa. Mbwembwe za mwanzoni ziko wapi?Hawa Raja sio TP Mazembe
Super cup? Mbona caf wameishafuta simba baada ya kufungwa bao la 3. Taarifa iko kwenye website ya cafKwa style hii hiyo super cup mtaaibisha taifa