Safari bado inaendelea....!Kimoja tu Cha Kukikumbuka ni Hii ni CL na sio Confederation...!
 
Ile game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Simba Haina uwezo wa kuifunga vipers kwao na wajitazame hapa Kwa Mkapa.
Mkiendelea kufanya mambo Kwa mazoea mnaweza mkamaliza na alama Moja tu.
 
Acheni haya mawazo mgando, Vipers alikula tano, nae alimkosea mtu gani?

This is football, acheni hisia zenu za kibongo bongo..
 
Ila hata kuchelewa kwa jezi nayo inaweza kuwa sababu ya kugongwa kwa mtani....... au sio mtaani na sikia zipo Ethiopia zkwa dobi zinapigwa pasi.
 
Hali ni tete mnoo.
Huyu kocha mbrazili hatufai pale Msimbazi.

Yaani hadi kwa Mkapa tunapigwa kama Paka. Hii sio Simba ninayoijua mimi.
 
Nafikiri tulikua/tupo pamoja.....
 
Mgunda wakusumbuliwa na Mbeya City ndio awafunge Raja?

Mnaota nyie.
 
Hawa jama design kama walikuwa wana subiri dik 80 ifike manake dk 10 hizi za mwisho wameuwasha moto mkapigwa mbili, je huko kwao wakiuwasha mwanzo mwisho si mnakula mkono.
 
Hawa jama design kama walikuwa wana subiri dik 80 ifike manake dk 10 hizi za mwisho wameuwasha moto mkapigwa mbili, je huko kwao wakiuwasha mwanzo mwisho si mnakula mkono.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…