Ila, viongozi wa Simba wanastahili lawama.KUFUNGWA NI KAWAIDA, KUFUNGWA NI SEHEMU YA MPIRA HAIJALISHI UMEFUNGWAJE.KUFUNGWA KUPO.
Wewe nakuangaliaga tu ila kiuhalisia hujui mpira,michuano hii mtaaibika sanaMuda utaongea, nxt week tu.
Mkuu, nipo hapa kwa kiti najichekea chekea tu, wala hata sijui nafurahishwa na nini!!Naandika kiarabu mkuu πππ
Kule wanaenda kuwanywa supu kabisaSasa kwako unapigwa hivi, kule Morocco itakuaje? [emoji38][emoji38][emoji38]
Yes makosa yaa kiufundi...Ila, viongozi wa Simba wanastahili lawama.
Hivi, waliokuwa na sababu gani kumchukua kocha mpaya kwenye dirisha dogo? Wangesubiri kocha mpya aanze mwanzo wa msimu na timu. Siyo katikati na kuja na mfumo mpya kwa wachezaji ambao walishazoena kwa mfumo waliokuwa nao.
Naye katia nuksi,nilivyosikia tu habari ya kununua magoli nikajua nuksi imeingia.Mmevuliwa nguo mbele ya mamaenu...π€£π€£π€£