FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Ile game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Ndio hesabu zenu? Usishangae Horaya ana Draw huku na Viper anashinda huku pia, Bongo kungekuwa na kombe la Dunia la mpira wa mdomono tungekuwa na makombe ya kutosha
 
Hatimae MATOKEO ya Mchezo wa Klabu bingwa Afrika kati ya SIMBA na RAJA ya Morrocco ni BAO 3-0 Wageni wameshinda.

Watanzania Tusijidanganye kwa jinsi Mchezo ulivyochezwa ni Dhahiri Wachezaji wa SIMBA waliosajiliwa SIO wa MICHUANO ya CAF mie naamini ni wa LIGI yetu ya ndani.

Kwa WACHEZAJI HAWA Simba haishiki hata nafasi 3 ktk KUNDI LAO Simba haina Wachezaji wenye VIWANGO vya Hii Michuano kwani Michuano hii ni Migumu sana na Timu zinazofanya Vizuri zimewekeza sana Kwa USAJILI wa WACHEZAJI.
 
tuache lawama marehem anaitwa nani vile
Hivi, waliokuwa na sababu gani kumchukua kocha mpaya kwenye dirisha dogo? Wangesubiri kocha mpya aanze mwanzo wa msimu na timu. Siyo katikati na kuja na mfumo mpya kwa wachezaji ambao walishazoena kwa mfumo waliokuwa nao.
 
Kuna mahali viongozi wa Simba hawapo serious, usajili wa hii misimu miwili unathibitisha hilo,pamoja na kwamba quality ya wachezaji wa raja na Simba ni mbingu na ardhi lakini kuwa na wachezaji kama bocco,mzamiru,sawadogo,gadiel,nyoni,kapama,kyombo huwezi kumfunga yoyote Africa hii.
 
Back
Top Bottom