technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hiki kichapo hakika ni msiba duh ndani ya taifa kabisa duh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ujaeidhika na vitatuKama si refa kuibeba Simba Leo kulikua na penalty mbili ambazo Raja wamedhulumiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee kumbe wale Vipers hawakuonewa [emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Mazishi yatakuwa hapo hapo kwa Mkapa siku ya kesho, TP mazembe wataendesha zoezi la kuchimba kaburi na kufikia.kwaiyo tunazika wapi ?
Ndio hesabu zenu? Usishangae Horaya ana Draw huku na Viper anashinda huku pia, Bongo kungekuwa na kombe la Dunia la mpira wa mdomono tungekuwa na makombe ya kutoshaIle game ya Horoya tungepata hata draw sema Bocco ndio akazingua, hapa kwa hali ilivyo, Simba lazima akachukue pointi kwa Vipers afidie alizopoteza leo, Vipers akija bongo afe, na Horoya akija nae afe.
Kama vidole tu havilinganiHaya maisha hayana usawa kabisa mkuu hiyo milion tano kuna mtu anaivunja pale kidimbwi au wavuvi kempu kwa usiku mmoja tu
Ndiyo iko hivo life is not fair kabisa.Haya maisha hayana usawa kabisa mkuu hiyo milion tano kuna mtu anaivunja pale kidimbwi au wavuvi kempu kwa usiku mmoja tu
Usimtukane mamba kabla haujavuka mto. Mwenzako akinyolewa, .......... . Tupo hapa. Hakuna aliye salama.Raha imejileta yenyewe kwa nini nisifurahi?
Hivi, waliokuwa na sababu gani kumchukua kocha mpaya kwenye dirisha dogo? Wangesubiri kocha mpya aanze mwanzo wa msimu na timu. Siyo katikati na kuja na mfumo mpya kwa wachezaji ambao walishazoena kwa mfumo waliokuwa nao.
Subiri wewe ukalifurahishe. Tupo hamu, tuombe uzima.Kusema ukweli mbumbumbu mmeliaibisha taifa hatukatai ndio mnashika mkia lakini hata goli moja hamjafunga!!!
😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣Mwalimu wa hesabu la 3B