Pira dubai.
 
Tatizo tunakuwaga na matarajio makubwa Kwa mkapa, badala yake imekuwa kinyume chake
Hii ndo itatuamsha tucheze mpira japo mashabiki ndo hawatakuja jaza tena maana tushatobolewa

Twatakiwa tushinde mechi nje na ugenini ili tuwe timu bora
 
Daah 😢😢😢
 
Kwa wachezaj gani
 
Mipesa yote hiyo kuwapa wachezaji hawa ni uzezeta. Bora Mo azitumie kufufua mashamba yake ya katani na chai
 
Mbona izi timu tulizifunga au hizi za ulaya de Agosto, Nyasa big bullet ukweli ni Kwamba kwa timu zenye uwezo kubwa ndio udhaifu wa simba unaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…