wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Simba hii ni sawa mwanafunzi aliyepata 1.7 form 4, form six kila test yeye anazungusha tuHakuna kitu,Simba hakuna wachezaji pale wakupambana katika haya mashindano Wala ligi ,we unamchezaji kama kibu anajituma mazoezini apate namba wanjani analeta ushuzi tuh