Kwa hiyo hata zile mechi za kirafiki na CSKA Moscow, Al Hilal ya Sudan; zote hizo zilikuwa ni kazi bure tu! 😃ZHata hizo pesa za Dubai naona zimetupwa tu.
Hizi timu Zetu zipunguze matumizi yasiyo na ulazima, moja wapo ni hizi trip za nje maana hutumia zaidi ya Bilioni 2 na matokeo hayaonekani
Walienda kupiga picha tuKwa hiyo hata zile mechi za kirafiki na CSKA Moscow, Al Hilal ya Sudan; zote hizo zilikuwa ni kazi bure tu! 😃
Siyo Onyango? Maana namuona outarra anacheeekaNdio maana yake huoni yale magoli ni uzembe wa manura.
Hesabu za vidole hizi, huyo Vipers kumfunga kwake Sio rahisiNo, kama Vipers alikufa kwake, Simba leo kafa kwake, mwenye faida hapa labda ni Horoya kama atawakazia waarabu nyumbani kwake apate hata suluhu..
Lakini ikitokea Horoya akapoteza pointi kwa Vipers, then Simba ashinde zote mbili za Vipers, bado nafasi ipo, sema hawa jamaa ndio wataongoza kundi kwa pointi nyingi sana.
Basi elewa hao wachezaji hupokea milioni 800 kama bonusMipesa yote hiyo kuwapa wachezaji hawa ni uzezeta. Bora Mo azitumie kufufua mashamba yake ya katani na chai
Siyo timu kubwa tu. Simba hii anateseka hata kwa kosto unionMbona izi timu tulizifunga au hizi za ulaya de Agosto, Nyasa big bullet ukweli ni Kwamba kwa timu zenye uwezo kubwa ndio udhaifu wa simba unaonekana
Kushika mkia kawaida ata chura kashashiriki makund confederation zote kaambulia kushika mkia tuSasa kama nyumbani tu unakubali kufungwa 3 bila! Ukienda kwao si unaenda kupigwa 🤚
Ndiyo hii timu ilikuwa inawakejeli Vipers, ambao wametoa sare na mbabe mwingine Horoya!!
Kwa hali hii sitashangaa wakishika mkia kwenye kundi lao.
TanoHuko casablanca atakwenda kunywa tatu tena.
Mpo wapi warembo wa lunyas🤣🤣🤣🤣Kila la kheri mnyama
Wachezaji ni zero hakunaI am not surprised na Matokeo.
Nilishawahi kuandika hapa kuwa tuwape nafasi makocha wa ndani, tuwaamini na tuwajengee uwezo ...... they can make impossible possible.
Hata waarabu makocha wao wengi ni wazawa.
Kocha mzawa ananafasi kubwa ya kujua uwezo sahihi wa wachezaji na kujua namna ya kufanya setting kuliko hawa ngozi nyeupe wanaotulia hela tu.
Mpira ni investment. Wenzetu waarabu wanalijua hilo.
Sisi hapa kwetu usajili ni papatu papatu usio na tija na hata tukisajili tunasajili watu wasio serious. Hii ya leo ni Aibu kama sio Msala.
Tatizo linaanzia kwa kocha , lack of skills ya kufanya setting. Lack of contingency plan for game change kipindi cha pili; that means hata kipindi cha kwanza hakujua ametoa boko wapi na hakukielewa.
Kumfunga SIMBA leo ilikuwa ni sawa na kutoa unywele kwenye maziwa. Tai anatabia ya kumnyanyua mnyama juu kisha anaenda kumla kunako. Huko kunako ni Morocco!
Goli tatu mbele ya mashabiki elf 60!
Nashauri Timu irudi kwa Mgunda, kwakweli hizi rangi nyeupe huwa hawajuagi chemistry ya wachezaji wetu wa Ndani.
Game kama hii Boko Haram anaanzaje? Sakho was supposed to play only 25 na atolewe.
The kocha Robatinyo is good for nothing, and arudi kwao immediately !
The Kama tunategemea kupata matokeo na wachezaji kama Sako, Boko Haram, etc etc ..tutaendelea kuwaona waarabu wakitutia vidole kila siku.
The Game kama hizi ni no show off game ; wachezaji wa Raja wanacheza technically na cautiously na kila hatua yao inamadhara.
Haya Simba ataenda kuliwa vyema huko Morocco.
Poleni wanasimba huu wa leo ni msiba Wenye aibu; makosa makubwa yanaanzia kwenye setting ya Kocha na kujua the right vocabulary in the right place : game change plan pia ikafeli.
Msijali, kesho wana Yanga Wananchi tunafuta huu MSIBA wa kipuuzi.
Unataka kujiua mkuu!?shimo la kabuli linaenda chini kilomita ngapi wakuu?
Walifungwa ugenini. Nyumbani walitoka 3-3RAja 6 vs Yanga 0