Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan niliacha cursor eneo la kuandika. Nashuhudia kichapo kwa uongozi wa kisanii
Hiyo nafasi muipate wapi wakati mechi mbili hamna point hata moja na mnashika mkia katika msimamoBado tuna nafasi ...ni kupambana
Matokeo ya Simba leo ni ngapi ngapi wadau??SIMBA 1-3 RAJA CASABLANCA
YANGA 2-0 TP MAZEMBE
Tofauti na matokeo hayo niiteni ZUWENA, all the way from CAPE TOWN.
Jina langu la huku ni NHLANHLA MEBO.
Nafas ya ngapi mkuu, labda ya 3. Maana nafasi pekee iliyopo ni kufikisha point 6 timu hii mbovu ikijitahidi akaifunga Horoya na Vipers.Bado tuna nafasi ...ni kupambana
Tatu mzukaMatokeo ya Simba leo ni ngapi ngapi wadau??
Sio point tu, hata goli la kufunga hakuna. Lile kapu la magoli linashapakiwa 4.Hiyo nafasi muipate wapi wakati mechi mbili hamna point hata moja na mnashika mkia katika msimamo
Na mkamshangilia kuwaita yanga nyoka nyoka, Bure kabisaMwamedi anamleta Manzoki kwenye kampeni.
Kwann wamelirudisha bas nyuma nyumaIlikuwa ni suala la muda tu.
Simba imejitahidi kadiri ya uwezo wa wachezaji wake.
Ukilinganisha Raja ni wepesi na wakishambulia hawatoi pasi chonganishi kama Simba.
Hata hivyo, kwa kufanya maboresho ya madhaifu bado Simba ina nafasi ya kupata nafasi ya pili iwapo itashinda mechi 3 na sare 1.
@GENTAMYCIMEYule popoma aliekua anajaza servers na nyuzi zake zisizo kichwa wala miguu yuko wapi?
Should I?Believe.
Alfu kwanin walilirudisha bus kkinyumanyuma had postaAtashinda dhidi ya nani hizo mechi 3, na kutoa sare 1? Kimahesabu simba inakamilisha tu ratiba. Uwezekano wa kuingia robo fainali, haupo.
Dah!.. hasira za kufungwa wamemshushia dogo....Hiyo penati hata sijaiona nilikuwa katika harakati za kutoka uwanjani
Ila nilichojifunza mashabiki inabidi tubadilike sana
Wakati natoka nje hapa kwenye hizi ngazi uwanjani nimestuka na kelele za watu waliokuwa wanamkinbiza mtu wakimuita mwiz
Alikuwa ni dogo tu maskini watu wamemzinga wamepiga kipigo kikali watu wakijua ni mwizi
Lakini mwisho wa siku kumbe dogo alikuwa anashangilia penati ya Raja
Wamemuumiza sana dogo anavuja damu hata nguvu ya kusimama amekosa
Dear friends timu yako kama haichezi kwa Mkapa sio sehemu salama wewe kwenda ukifikiri utakuwa huru kushangilia wapinzani wako wakifungwa kama ukiwa mtaani au humu jukwaani