Simba hii haitashinda wala kutoka sare na timu yoyote. Haitaweza kuifunga raja kwao, horoya kwa mkapa, wala vipers home na away.
 
Wewe ndiyo Adui #1 Simba SC na huna Msaada na Timu yetu bali unaitumia Simba SC Kujitajirisha. Tumekuchoka tuachie Timu yetu.

Nimemaliza.
 
Naona umeamua kujaza server ya JF peke yako[emoji1787][emoji1787]unataka timu Mo aiache ili upewe wewe🫣🫣

Halafu wewe mtoto wa mama laini sana, Simba Sc ikiwa inacheza huwa unajificha huweki comment hata moja[emoji15][emoji15], unashindwa hadi na watoto wa kike wanajiamini zaidi yako[emoji1306][emoji1306], unasubiri mechi iishe ndio uanze kujaza server ya watu machozi, wacha uboya.
 
Usikate tamaa mpira una maajabu yake.
Mnyama anaweza kupata pointi 6 kwa Mkapa, 3 Uganda na 1 kwa Waarabu hawahawa.
Mechi ya marudiano na Raja, Simba atapigwa kama ngoma. Jana Raja walitaka hata draw tu, watakavyoenda kuwakimbiza, akina Onyango wanaweza goma kurudi uwanjani kupindi cha pili.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Simba hii haitashinda wala kutoka sare na timu yoyote. Haitaweza kuifunga raja kwao, horoya kwa mkapa, wala vipers home na away.
Kwa kukosekana Kanute ilitakiwa kuanza na mabeki 3 nyuma na si 2,Sawadogo mzito mno hivyo unahitaji watu wanaokimbia muda wote,angembadili namba kapombe nakumchezesha na mzamiru halafu yule dogo angecheza namba 2,hakukua na mikimbio kabisa katikati.
Ninauhakika mgunda asingefanya haya ya jana
 
Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu eti wanasemaga Mtani.

#Mkiani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…