Watakutana mechi ya mwisho wakati wameshajihakikishia kuongoza kundi. Sidhani kama watatumia nguvu nyingi sana kutafuta ushindi mnono kwa gharama ya kuumiza wachezaji wao wanaowahitaji zaidi kwenye hatu zinazofuata.Mechi ya marudiano na Raja, Simba atapigwa kama ngoma. Jana Raja walitaka hata draw tu, watakavyoenda kuwakimbiza, akina Onyango wanaweza goma kurudi uwanjani kupindi cha pili.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Jipe moyoWatakutana mechi ya mwisho wakati wameshajihakikishia kuongoza kundi. Sidhani kama watatumia nguvu nyingi sana kutafuta ushindi mnono kwa gharama ya kuumiza wachezaji wao wanaowahitaji zaidi kwenye hatu zinazofuata.
Nijipe moyo kwa sababu gani?. Wakichakazwa mimi ndio nitafurahi zaidi maana najua mji utatulia.Jipe moyo
Hawa si ndio NGADA FC? Bila shaka walikosa ngada. Hivi yule paka mweusi kapotelea wapi?View attachment 2522613
Ndumba FC aibu hiii na kupakatwa juu..
Hao hao.. hawaelewekHawa si ndio NGADA FC? Bila shaka walikosa ngada. Hivi yule paka mweusi kapotelea wapi?
View attachment 2522038
Mechi za Simba za kufa na kupona hizi ili aweze kufuzu.
Anatakiwa ashinde zote je ataweza?
Kila timu ina kupanda na kushuka. Hebu tueleze Liverpool, Man U, zilizokuwa zinapeleka kipigo kwa kila timu leo wako wapi?
Mbona umewaacha wachezaji mahiri? Boko, kibu D., Muzamiri, sawadogo, hawa hata wakienda Barcelona wanaingia first 11 moja kwa mojaSimba huwa tukikutana na timu kubwa kwa mala ya kwanza huwa tunafungwa kizembe sana.
Ref, Kaizer Chief, AS Vita, Al-Ahlly zile 5, 5 na 4, 4.
Tu nashindwa kabisa kuwasona wapinzani wetu. Bechi la ufundi linafeli vibaya sana.
Mechi ngumu zijazo napendekeza kikosi kuanza hiki hapa.
1. Manula
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Kennedi
5. Onyango
6. Inonga
7. Phili
8. Kannute
9. Beleke
10. Chama
11. Okra.
Wengine waanzie Sub.
Nimeweka mabeki wote ili kuimariasha ukuta.
Inonga abaki namba 6 ili timu ikishambulia anapanda, ikishambuliwa anarudi kukaba.
We jamaa hatariSIMBA 1-3 RAJA CASABLANCA
YANGA 2-0 TP MAZEMBE
Tofauti na matokeo hayo niiteni ZUWENA, all the way from CAPE TOWN.
Jina langu la huku ni NHLANHLA MEBO.
Umetisha sanaJana watu wamelowa balaa.
Kauli ya mama iliwaponza watu wakachanganyikiwa.
Leo Yanga atarudisha heshima ya nchi iliyopotezwa jana.
Shukrani Mkuu, Na Sasa Hivi WanashirikiWydad
Mmepa hiko kidogo????Mungu ibariki Nguvu Moja. Hatutaki kingi, tunaomba 1-0 tu yatosha
Hivi VIPERS wao hawataki KUFUZU huko ROBO FAINALI??Simba anatakiwa kuvuna point kama ifuatavyo
1.Ampige Vipers nje ndani = points 6
2.Ampige Horoya hapa home = point 3
Jumla 9
Kwa huyu atafute sare hata 1
Ndo anaweza fuzu, vinginevyo haendi popote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Humu ndani watu mnapenda kujitoa akili kweli. Kwa timu pale muondoke na ushindi? Msipokuwa makini mnaweza kuondoka bila point yoyote.Simba asiposhinda leo, niulizwe mie