Bado hamkubali kuwa mna timu mbovu msimu huu?
 
Jamaa anyepasha alikataa Ofa ya Bayern Munich kisa uzalendo ,hii ndio mida yake naona anaingia ni Super sub mzuri sana huyo Benguit tokea akiwa under 17 Chan na kikosi cha Morroco..
We jamaa ulikuwa unatoa tahadhari mapema sana kwa mashabiki wa Simba
 
We jamaa ulikuwa unatoa tahadhari mapema sana kwa mashabiki wa Simba
wakina denooJ walidhani mikwara jamaa akatupia ,sasa kuna mwengine mkali zaidi sikumuona gemu ya Dar nadhani atakuwepo mechi ya marudiano makolo wajiandae kisaikolojia..
 
Mheshimiwa mbona leo umechelewa kuanzisha thread live kutoka kwa Idd Amini sijakuzoea hivyo
 
ligi Bado mbichi acha Kutukana mamba hamjavuka mto.
Mimi nazungumzia hii kauli yako mbwa wewe. Hata kama Simba hataenda robo fainali ila kauli yako haitatimia, mbwa wewee mlugaluga, umekuja na treni na shangazi kaja lako, unalala vibarazani halafu unajiita mtabiri. Mbwa
Niliongea Simba itashika mkia kundi lao matusi kama yote! Waje Sasa wakanushe utabiri wangu!
 
Kauli yangu itatimia na mb.wa jike wewe na utalia na kusaga meno.

Basi kigoli kimoja Cha kuvizia mmefunga vibonde Vipers mnataka Dunia nzima sote tukae Barabarani na mavuvuzela tushangilie Simba bomu Ile ambayo walibinuka na msuli wakaliwa na mwarabu home kwenu kwa Mkapa hatoki mtu!!

Mi hata sikuwa nafahamu kama Makolo wanacheza Jana , timu ya vikongwe kina Onyango, mi najua Leo ndo Kuna mechi ya wanaume! Yanga hoyeee!!
Mimi nazungumzia hii kauli yako mbwa wewe. Hata kama Simba hataenda robo fainali ila kauli yako haitatimia, mbwa wewee mlugaluga, umekuja na treni na shangazi kaja lako, unalala vibarazani halafu unajiita mtabiri. Mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…