MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Ni Mabingwa Hawa KakaAlafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mabingwa Hawa KakaAlafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
25thDk ya ngapi?
hizi komenti zinanipa raha sanaILA huyu sako ni mavi kabisa
Dk ya ngapi?
Naona kocha kama kabinua.
Best player wa MikiaSijawahi ona mchezaji kilaza kama sako
ucheki marudio ukirudi homeNiko uwanjani
Mamaeeeee haya majamaa hayajaja kuomba point moja wanataka zote 3[emoji3]
Wamepata kama 4 hivi21' Raja wanapata kona hapa baada ya shambulizi kali
Tuzuie wasifunge tu, kufika si shida.Hawa mambwiga tuwatafutie namna ya kuwazuia wasiwe wanafika fika kizembe golini kwetu