FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
mtangazaji anaharibu kutaja msimamo wa hii timu

yaani timu ya 4 inasumbua nyau hivi
 
Hawa mambwiga tuwatafutie namna ya kuwazuia wasiwe wanafika fika kizembe golini kwetu
 
Hizi ni mechi za kuanza na wachezaji wenye maamuzi sio mechi za kufanya ubishoo.
 
Daah hawa Raja.........mmmh


Tuendelee kuwekeza kwenye mpira.......

Guvu moya 😀
 
Back
Top Bottom