FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Tayari watani zangu washalowa huko..

Jitahidi I jamani ni mambo ya aibu haya kupigwa nyumbani

safi kaka
Kesho tutawafundisha Thimbs Namna bora ya Kutumia Uwanja wa Nyumbani…
Mazembe lazima Alale 3!
Imeaidha hiyooo
kila Kitu Kimekamilika
Ni Kutetema tuu Kesho bila Kudahau Azizi [emoji360] [emoji12][emoji1787][emoji1787]
 
Naomba nikucheke Mtani. 🤣🤣🤣
Subiri kidogo dakika 90. Zikiisha mambo iko hivi ruksa. Lipuka mtani kwa raha zako.

Lakini tambua bado uzazi unao, na unaomba kutukana wakunga😁🤣😂
 
safi kaka
Kesho tutawafundisha Thimbs Namna bora ya Kutumia Uwanja wa Nyumbani…
Mazembe lazima Alale 3!
Imeaidha hiyooo
kila Kitu Kimekamilika
Ni Kutetema tuu Kesho bila Kudahau Azizi [emoji360] [emoji12][emoji1787][emoji1787]
Kesho tuwapa watanzania furaha

USSR
 
Simba ina hatari kubwa ya kufungwa counter attack
 
Huyu Refa hakuwepo kwenye ile dinner ya jana?

Au kwenye plate yake walimuwekea mlenda?

Naona haoneshi ishara yeyote ya shukrani hapa
 
Back
Top Bottom