Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ngumu,Samia bora angekausha tuJamani kwa hio hamtaki zile mil 5 ama?
Na bora zisije kabisaVunjabei kala hasara na Jersey zake
Hatutaki rushwaJamani kwa hio hamtaki zile mil 5 ama?
Best player leo Kwa Simba ni Kapombe pekee
Manzoki alikuwa wa kuombea kura. Mchezaji wenu Senta Fowadi ni Bocco. 😂😂😂Huna sasa mchezaji wa aina hiyo,amtoe wapi sasa yeye?
Guvu moya 😀
Kila mtu anamaoni yake,kapombe kwanguMkude Humuoni
Wahindi wananunua makachakacha ya kuzuga we fikiria hadi tunaletewa andunje kama okwaSajili nyingi za wachezaji huwa tunapigwa na hatushtuki. Au wanatakatisha pesa