FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Huna sasa mchezaji wa aina hiyo,amtoe wapi sasa yeye?

Guvu moya 😀
Manzoki alikuwa wa kuombea kura. Mchezaji wenu Senta Fowadi ni Bocco. 😂😂😂

Halafu eti Simba ikose magoli mimi shabiki nisikitike, pumbavu, wacha ifungwe tu hata 20 poa.🤣🤣😂🤣📢
 
Back
Top Bottom