Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWe hujui kiarabu 🤣🤣🤣
Watanzania tuna vichaa kufungwa ni kawaida, hata kama kwa idadi si wa kwanza sisi.Hiyo penati hata sijaiona nilikuwa katika harakati za kutoka uwanjani
Ila nilichojifunza mashabiki inabidi tubadilike sana
Wakati natoka nje hapa kwenye hizi ngazi uwanjani nimestuka na kelele za watu waliokuwa wanamkinbiza mtu wakimuita mwiz
Alikuwa ni dogo tu maskini watu wamemzinga wamepiga kipigo kikali watu wakijua ni mwizi
Lakini mwisho wa siku kumbe dogo alikuwa anashangilia penati ya Raja
Wamemuumiza sana dogo anavuja damu hata nguvu ya kusimama amekosa
Dear friends timu yako kama haichezi kwa Mkapa sio sehemu salama wewe kwenda ukifikiri utakuwa huru kushangilia wapinzani wako wakifungwa kama ukiwa mtaani au humu jukwaani
Ujinga mtupuSimba waliomba game ipigwe kwenye jua kali la saa 1600hrs CAF wakagoma.
Hivyo simba wanalaumu chinichini caf kwa kukataa ombi lao wakidhani kipute kingepigwa baada ya saa kenda wangeshinda!.
Tuachane na uwongo wa kudanganya mashabiki kwenye vispika vya sumu ya panyaFull time 0-3
Tuwekeze kwenye soka ndugu zangu,hizi Timu zetu bado sana
Simba ni timu kubwa usiilinganishe na utopolo,kesho mtapigwa tu🤣🤣🤣Mwalimu wa hesabu la 3B
Atafukuzwa kocha ndio zao yaani kuishi kimazoea.Overhaul ya Simba yahitajika.
Wachezaji wengi hawafai
Haina shida kila mtu apambane na hali yakeBila Simba kuwaleta mngewaona wapi, nyie level zenu Mazembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niangalie kama nitaselfika leo. 😄😄😄😄😄😄Leo ni furaha tupu yaani. Utakwenda kuselfika leo nikasubiri? Si kwa furaha ya leo aisee [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]