SimbaSC NguvuMoja kila lenye heri chama la wana
 
Halafu kuna watu wanamdharau Karia, ukiachana na mengine mengi jamaa ni moja kati ya viongozi wa TFF ambao chini yake yamefanyika mambo makubwa sana ya kihisitoria kwa upande wa mchezo mpira wa miguu.

Bila kumsahau Mo Dewji, ni wazi kuwa amekuwa ni chachu kubwa ya mabadiliko chanya pale Simba Sc.
 
Weee mbona huyu shabiki wa Yanga anashangilia kuliko sisi?
 
Licha ya kuwa wanacheza nyumbani ila ukijaribu kuchunguza nyuso za wanasimba wote utaona zimepooza.
Wanaonekana wamejaa huzuni na hofu kubwa.

Huku mtaani na vibanda umiza wamekuja kuangalia mpira bila kuvaa jezi zao..

Sijui hali watakayokuwa nayo baada ya dakika 90 kuisha..
Tuwaombee ndugu zetu maana yajayo yanasikitisha zaidi
 
Asante Sana!! Asante sana!!
Asante sana...
 
Kuna lishabiki la uto kuona masifa Mnyama tunavyokula mashavu duniani kakunja mdomo kama kalambishwa ndimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…