Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hata hivyo haya ndio mashindano ya mwisho, mwaka ujao hayatakuwapoHuyu Kocha Mashindano ya AFL yanaweza kuwa ya Mwisho Kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo haya ndio mashindano ya mwisho, mwaka ujao hayatakuwapoHuyu Kocha Mashindano ya AFL yanaweza kuwa ya Mwisho Kwake
Halina ubishi hili. 🤝Kuna mtu leo anapigwa khamsa 😁
Mara ya Mwisho kuiona Simba Sc ikipigwa hamsa ni lini.?Halina ubishi hili. [emoji1666]
OkAngalia ZBC
Azam Sports 1HDAzam Tv wanaonyesha Channel ipi ?
Hata mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo nikajua pengine sijamakinika tuHivi kiba ameshapiga show ?
😃😃😃 Suit utadhani dalali wa vitunguu stereo.K kishenzi hawa Azam yanakera kinoma na suti zao za mkopo
Nasikia ZBC wapo liveK kishenzi hawa Azam yanakera kinoma na suti zao za mkopo
Mwakani kutakuwa na team 24 kwa mujibu wa Motsepe, ni kwamba haya mashindano ndio yamesimikwa rasmi hivyo.Hata hivyo haya ndio mashindano ya mwisho, mwaka ujao hayatakuwapo
OkMwakani kutakuwa na team 24 kwa mujibu wa Motsepe, ni kwamba haya mashindano ndio yamesimikwa rasmi hivyo.
Picha hazionekani vizuri
Safi sana huu ndo uzalendo Sasaaa
Naona wanaweka majukwaa hapa huwenda atapanda kupiga kwa muda mfupiHivi kiba ameshapiga show ?
Poa sema nimeipata,,,abu dhabiJaribu yalla live au yaccine tv
Nilikuwaga natumia izo zamani